Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023

Yearly Archives: 2023

Serikali Kupunguza Gharama za Kusafisha Figo

0
Na Jacquiline Mrisho -   MAELEZO Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka  Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi...

MAFUNZO YA MFUMO WA GAMIS KUTOLEWA KWA TAASISI ZA UMMA

0
Na. Eva Valerian na Peter Haule, WFM, Dodoma Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Jenifa Omolo, ameziagiza Ofisi za Mikoa za...

SERIKALI KUBORESHA USIMAMIZI WA BIASHARA ZA MTANDAO

0
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) alikijibu swali, bungeni jijini Dodoma. Na. Saidina Msangi, WFM, Dodoma      Serikali imesema kuwa imeanzisha kitengo...
WANAFUNZI, SHULE, MUSOMA

WANAFUNZI SHULE YA MUSOMA WAFIKISHIWA ELIMU YA MAADILI

0
Na Shomari Binda-Musoma KAMPENI ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania ( SMAUJATA) mkoa wa Mara imeendelea na ziara ya kuzifikia shule na...

DK.MWINYI: AKAGUA MIRADI YA CCM ILIYOPO MKOA WA MJINI KICHAMA.

0
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais Wazanzibar Dk Hussein Mwinyi amesema ipo haja ya watendaji kuzingatia ndani...
WIZARA, AFYA, MAJENGO

WIZARA YA AFYA YAKAMILISHA MAJENGO YA HUDUMA ZA DHARURA

0
-lengo ni kupunguza asilimia 40 ya vifo Na WAF - Dodoma Serikali imefanya mapinduzi makubwa katika Sekta ya afya kwa kuweka mfumo madhubuti wa huduma za...

KITUO CHA KULEA WATOTO WENYE ULEMAVU CHA ST.JUSTIN CHAPATA MSAADA WA DOLA 10,000 KUTOKA...

0
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick North Mara,Apolinary Lyambiko (kushoto) akimkabidhi msaada wa hundi ya dola 10,000 Msimamizi wa Kituo kituo cha Kulea Watoto...
WAKULIMA, 227, 905

WAKULIMA 227,905 WA KAHAWA WAKABIDHIWA MICHE YA BURE

0
Na Gideon Boniface, Lushoto WAKULIMA wa Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga wamegawiwa bure miche ya kahawa 227,905 ikiwa ni jitihada za kuweza kurejesha tena zao...

WANANCHI WAPONGEZA UAMUZI WA SERIKALI WA KUJENGA SHULE MPYA YA MSINGI ANTSI.

0
Wananchi katika kijiji cha Bargish Antsi wametoa pongezi kwa Serikali kwa uamuzi wa ujenzi wa shule mpya ya Msingi itakayo gharimu kiasi cha shilingi...
WATUHUMIWA 125, MATUKIO, MBALIMBALI

WATUHUMIWA 125 WANAOJIHUSISHA NA MATUKIO MBALIMBALI WAKAMATWA JIJINI MWANZA

0
JESHI la polisi Mkoani Mwanza linawashikilia watuhumiwa 125 kwa matukio mbalimbali ya kiuhalifu akiwemo mwanachuo mwaka wa kwanza anayesoma kozi ya Famasia Bugando aliyejiteka...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA