Monday, November 23, 2026
Tangazo-NHC
Home 2023

Yearly Archives: 2023

Elimu zaidi, NEMC, kutoa

Makala aitaka NEMC kutoa Elimu zaidi juu ya madhara mlio Mkubwa kwenye miziki

0
MKUU wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla ameitaka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kutowafungia biashara wenye kumbi za Miziki na Burudani...
MAGANYA, MTAKA, MAZISHI

MAGANYA, RC MTAKA WAHUDHURIA MAZISHI YA HERMAN KIRIGINI

0
Na Shomari Binda-Butiama MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Fadhili Maganya na mkuu wa mkoa wa Njombe,Antony Mtaka, wameongoza waombolezaji kwenye mazishi ya Herman Kirigini. Marehemu...
MKUU, WILAYA, KOROGWE

MKUU WA WILAYA YA KOROGWE JOKATE APOKEA VIFAA VYA MSAADA VYA HOSPITALI KUTOKA CLUB...

0
Na Magrethy Katengu Wadau, Kampuni, Taasisi za serikali na zisizo za kiserikali, Mashirika na Mtu binafsi wameshauriwa kuwa na moyo wa kutoa sehemu ya hali...
MPYA, MANYARA, WILAYA

RC MPYA MANYARA, AITEMBELEA WILAYA YA MBULU

0
Ikiwa ni siku moja tu baada ya kuwasili mkoani Manyara kuyaanza majukumu yake. Mkuu mpya wa mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amefanya ziara...
NCHI, KUJISAJILI, KUSHIRIKI

NCHI 5 ZAONGEZEKA KUJISAJILI KUSHIRIKI MAONYESHO YA 47 KIMATAIFA TAN TRADE

0
Na Magrethy Katengu Idara ya Ukuzaji biashara TanTRADE imesema mpaka sasa katika Maonesho ya biashara ya kimataifa ya 47 nchi 5 zimeongezeka kujisajili katika maonyesho...
WAGANGA, KIENYEJI, JESHI

WAGANGA WA KIENYEJI 33 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MWANZA

0
Neema Kandoro Mwanza Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limewakamata waganga wa kienyeji 33 wanaojihusisha na ramli chonganishi na kufanya shughuli za uganga wa kienyeji bila...
MUHONGO, ALIVYOMFAHAMU, MAREHEMU

MUHONGO AELEZEA ALIVYOMFAHAMU MAREHEMU HERMAN KIRIGINI

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini,Prof.Sospeter Muhongo, amemuelezea namna alivyomfahamu aliyekuwa mbunge wa zamani wa jimbo hilo, Herman Kirigini. Akitoa salama za rambirambi...
WAZAZI, KUFATILIA, MIENENDO

WAZAZI WATAKIWA KUFATILIA MIENENDO YA WANAFUNZI WAKATI WA LIKIZO

0
Na Shomari Binda-Musoma WAZAZI na walezi wametakiwa kufatilia mienendo ya wanafunzi wakiwa nyumbani wakati wa kipindi cha likizo. Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa shule ya...
KONGAMANO MAALUM, WAPIGA, PICHA

KONGAMANO MAALUM LA WAPIGA PICHA ZA MNATO  LALENGA KUJADILI MATUMIZI YA TEKNOLOJIA MPYA

0
KAMPUNI ya Big Solution  watarajia kufanya kongamano maalum la kuwaunganisha pamoja wanaohusika na fani ya kupiga picha mnato na video mapema Juni 6, 2023...
POLISI, TANGA, WAONYA

POLISI TANGA WAONYA BODABODA KUJIHUSISHA NA UHALIFU, UVUNJIFU WA SHERIA BARABARANI

0
Na Boniface Gideon, TANGA KAMANDA wa jeshi la Polisi mkoa wa Tanga Henry Mwaibambe amewaonya madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda kutokujihusisha na vitendo vya...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA