Home Kitaifa RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMUAPISHA DKT. ASHATU KIJAJI KUWA WAZIRI WA MALIASILI...

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMUAPISHA DKT. ASHATU KIJAJI KUWA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt.Ashatu Kijaji leo Novemba 18,2025 Ikulu jijini Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!