Home Kimataifa WAZIRI MKUU ASHIRIKI MKUTANO WA PAMOJA WA URUSI NA AFRIKA

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MKUTANO WA PAMOJA WA URUSI NA AFRIKA

Celebrating 25 Years of NHIF

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 28, 2026, ameshiriki ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi, ambapo amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo.

Akizungumza katika ufunguzi, Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kuwa majadiliano ya mkutano huo yatajikita kwenye kukuza mahusiano kati ya nchi za Afrika katika sekta za nishati, Viwanda, kilimo pamoja na usafirishaji.

FAHARI AFYA

Aidha, amesema maeneo mengine yatakayopewa kipaumbele ni elimu, Afya, Sayansi na Teknolojia, Tamaduni, vyombo vya habari pamoja na masuala yanayohusu vijana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!