Wednesday, September 23, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

DKT.JAFO AKOMALIA BAJETI YA BARABARA YA LAMI MLANDIZI-MZENGA-BOGA

0
Mbunge wa Jimbo la  Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akiuliza swali la nyongeza leo Januari 29,2026 bungeni jijini Dodoma. Na.Alex Sonna, Dodoma Mbunge wa Jimbo la  Kisarawe, Dkt....

UMEME UNACHOCHEA UCHUMI, AJIRA NA LISHE KWA WANANCHI WA VIJIJINI – RC PWANI

0
Kibaha, PwaniπŸ“ Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge leo, tarehe 28 Januari, 2026 wakati wa hafla ya kuwatambulisha wakandarasi wa kampuni ya Nakuroi...

TANZANIA NA OMAN KUIMARISHA USHIRIKIANO MASUALA YA KAZI NA AJIRA

0
Tanzania na Oman zimeendelea kuonyesha dhamira ya kuendelea kuimarisha ushirikiano katika masuala ya kazi na ajira ili kuongeza ajira zenye staha, kulinda haki za...

VYANZO VYA MAJI KUENDELEA KUTUNZWA KUONGEZA UHAKIKA WA HUDUMA YA MAJI.

0
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso,akizungumza wakati wa Mkutano wa Tisa wa mwaka wa Bodi  za Maji za Mabonde nchini uliofanyika leo Januari 28,2026 ...

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA WAPANDA MITI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA SIKU YAKE YA...

0
Miti imekuwa muhimili muhimu katika ukuaji wa sekta ya viwanda na biashara kwani kupitia miti, viwanda hupata malighafi, biashara hukua, na uchumi huimarika. Hayo yamesemwa...

SERIKALI YAENDELEA KUFUNGUA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu akiwa ameshiriki katika Mkutano wa Mawaziri wa Kazi Duniani...

WAZIRI SANGU AHIMIZA DIASPORA KUCHANGIA KIKAMILIFU MAENDELEO YA TAIFA

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Clement Sangu akizungumza na Viongozi wa Watanzania wanaoishi nchini Saudi...

JAMII YAASWA KUTOWAFICHA WAGONJWA WA UKOMA

0
Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameiasa jamii kuachana na dhana potofu ya kuficha wagonjwa wa Ukoma na kujitokeza wanapobaini viashiria vya ugonjwa huo...

TBS WAWAFIKIA WANANCHI WA DODOMA , WAWAPA ELIMU MADHARA YA MATUMIZI HOLELA YA POMBE.

0
Na Mwandishi Wetu. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa elimu kwa wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhusu madhara ya matumizi holela ya pombe, likilenga kuzuia...

WAZIRI KAPINGA:AJIRA MAELFU ZIMEZALISHWA KUPITIA VIWANDA NA BIASHARA SIKU 100 ZA SAMIA

0
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga,akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 24,2026 katika Mji wa Kiserikali Mtumba jijini Dodoma kuhusu mafanikio...