Home 2026
Yearly Archives: 2026
ELIMU KUHUSU MADHARA YA MATUMIZI HOLELA YA POMBE YAWAFIKIA WAKAZI WA ROMBO , WAIPONGEZA...
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewahakikishia wananchi kuwa bidhaa za pombe zinazozalishwa nchini na zinazoingizwa kutoka nje ni salama kwa matumizi, huku...
DC NYAMWESE: MADIWANI MSITANGULIZE MASLAHI BINAFSI KWENYE HALMASHAURI
MKUU wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Salum Nyamwese,akizungumza wakati akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo madiwani wa Halmashauri ya Mji Handeni, Halmashauri ya Wilaya ya...
WAZIRI MAVUNDE AKABIDHI MAJIKO YA GESI 1,000 KWA MAMA NA BABA LISHE DODOMA
Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Mtumba, Antony Mavunde, amekabidhi jumla ya majiko 1,000 ya gesi kwa mama lishe na baba lishe...
VITONGOJI VYOTE MKOA WA KILIMANJARO SASA KUWA NA UMEME
Wananchi katika vitongoji 186 ambavyo vinatarajiwa kupelekewa umeme Mkoani Kilimanjaro wamehamasishwa kuanza kufanya maandalizi ya kuupokea mradi huo kwa kuanza kutandaza nyaya ndani ya...
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUONGEZEKA MARA .
Serikali ya Mkoa wa Mara kupitia Kaimu katibu tawala wa mkoa wa Mara ambaye pia ni Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji, Mhandisi Mwita...
WANANCHI MKOANI GEITA KUNUFAIKA KIUCHUMI KUPITIA HUDUMA YA UMEME VITONGOJINI
Wananchi Mkoani Geita watakiwa kuchangamkia fursa ya umeme kwenye Vitongoji vyao ambapo Wakala ya Nishati Vijijini (REA) inatarajia kusambaza umeme kwenye vitongoji 528 vitakavyo...
MAJIKO BANIFU MKOMBOZI WA AFYA NA MAZINGIRA SIMIYU .
Wakazi wa mkoa wa Simiyu waaswa kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira kwa kutumia nishati safi na salama ya kupikia.
Rai hiyo...
BILIONI 73.8 KUPELEKA UMEME VITONGOJI 527 MKOA WA TANGA
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa shilingi bilioni 73.8 wa kusambaza umeme katika vitongoji 527 mkoani Tanga.
Hayo yamebainishwa leo Januari...
RC IRINGA ASISITIZA WANANCHI KUWALINDA WAKANDARASI NA VIFAA VYA UJENZI
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James, amewataka wananchi wa Mkoa huo kutoa ushirikiano kwa Wakandarasi wa miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini...
TANZANIA NA SERBIA ZAJADILI USHIRIKIANO WA AJIRA NA MAENDELEO YA RASILIMALI WATU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Clement Sangu akizungumza na Waziri wa Kazi, Ajira na Ustawi...













