Home 2026
Yearly Archives: 2026
TBS YAAHIDI KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA, YAWAKARIBISHA WANANCHI MAONESHONI
Meneja wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kati, Hamisi Sudi Mwanasala,akizungumza na waandishi wa habari katika banda la TBS wakati wa Maonesho...
TBS KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM WATEKETEZA TANI 110 ZA BIDHAA ZA RANGI...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limeteketeza tani 110 za bidhaa hafifu na zilizopigwa marufuku zenye thamani...
TEA YATAKIWA KUONGEZA ELIMU KWA UMMA KUHUSU FURSA ZA MFUKO WA ELIMU WA TAIFA
Dodoma – Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imetakiwa kuongeza juhudi katika kutoa elimu kwa umma na wadau mbalimbali kuhusu namna Mfuko wa Elimu wa...
MKUU WA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM ( DIT ) AWATAKA WATUMISHI...
Na Mwandishi Wetu.
Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Profesa Preksedis Marco Ndomba, amewataka watumishi wa taasisi hiyo kuanza kutekeleza kikamilifu taratibu...
WAFUGAJI WAKOSHWA NA MPANGO WA STAKABADHI ZA GHALA SEKTA YA MIFUGO
Na Mwandishi Wetu
WAFUGAJI nchini wamefurahishwa na mpango wa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye sekta ya mifugo wakidai kuwa utaleta manufaa makubwa...
PERTERMS YAIBUKA MSHINDI JUKWAA LA KIMATAIFA LA UTAWALA BORA.
Katika hatua inayoonyesha kuongezeka kwa mchango wa wataalamu wa Kitanzania katika majukwaa ya Kimataifa kampeni ya Perterms Consultancy Limited imetangazwa mshindi wa mchango wa...
TANZANIA YAPATA SH. BILIONI 60.7 KUBORESHA HUDUMA ZA MAJI
Na.Alex Sonna-DODOMA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wenye thamani ya Euro milioni 20, sawa na Shilingi bilioni 60.7, kutoka...
DKT. ABBASI AFUNGUA KIKAO CHA PILI CHA BODI YA USIMAMIZI WA MRADI WA MAENDELEO...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi akiwa na Mwenyekiti mwenza ambaye ni Naibu Balozi wa Finland Bw. Tomi Lounio,...
MWENYEKITI MPYA WA BODI YA USHAURI ADEM AONGOZA KIKAO CHAKE CHA KWANZA
📍Bagamoyo, Tanzania
Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Ushauri ya ADEM, Dkt. Hillary A. Dachi, amewasili rasmi chuoni hapo na kuongoza kikao chake cha kwanza tangu...
FCC YALENGA KUJENGA UTAMADUNI WA USHINDANI NA MATUMIZI SAHIHI YA BIDHAA
Tume ya Ushindani (FCC) imesema imeanza mpango wa kuanzisha klabu za elimu ya ushindani, ulinzi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia katika shule...













