Home 2026
Yearly Archives: 2026
TBS KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM WATEKETEZA TANI 20 ZA BIDHAA ZA CHAKULA...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo Juni 27, 2026 limeendelea na operesheni ya kuondoa bidhaa hafifu...
TRA KARIAKOO YAENDELEZA UWAJIBIKAJI KWA JAMII KUELEKEA TUZO ZA RAIS KWA WALIPAKODI NA MIAKA...
Kariakoo, 26 Juni 2026
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kariakoo imeendelea na maadhimisho ya miaka 30 ya TRA na maandalizi ya Tuzo za...
WAZIRI SANGU: SERIKALI ITAENDELEA KUONGEZA WIGO WA FURSA ZA AJIRA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga vijana 400 wa...
PPP YATAJWA KUWA NGUZO YA UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA 2050
CHUO Kikuu cha Mzumbe kimesema mafanikio ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 yatategemea kwa kiwango kikubwa ushiriki wa sekta binafsi, hususan...
KAFULILA AFUNGUA NJIA YA UTEKELEZAJI WA DIRA YA 2050
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema Tanzania haiwezi kufikia malengo ya Dira...
ORYX, KIDOTI FOUNDATION KUWATUMIA WASUSI KUSAMBAZA ELIMU YA NISHATI SAFI
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania kwa kushirikana na taasisi ya Kidodi Foundation wameingia makubaliano ya kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi nchini...
KUELEKEA TUZO ZA RAIS KWA WALIPAKODI, TRA KARIAKOO YAWAPONGEZA WALIPAKODI
Kariakoo, 25 Juni, 2026
Kuelekea maadhimisho ya Tuzo za Rais kwa Walipakodi Bora, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kariakoo imewapongeza walipakodi kwa mchango...
WAZIRI SANGU AWATAKA WAAJIRI NCHINI KUTEKELEZA DIRA 2050
Na: OWM – KAM, Dar es Salaam
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu amewataka waajiri nchini kuzingatia...
KCMC YAPATA TIBA MIONZI: SERIKALI YAWEKEZA BILIONI 5.5 KUSOGEZA HUDUMA ZA SARATANI KARIBU NA...
Na John Mapepele, WAF – Kilimanjaro
Tanzania imeandika ukurasa mpya katika mapambano dhidi ya saratani baada ya Serikali kuzindua rasmi Jengo la Tiba Mionzi katika...
REA ZAMBIA YAPONGEZA UBORA WA MIRADI YA UMEME VIJIJINI TANZANIA
Mamlaka ya Umeme Vijijini (REA) kutoka nchini Zambia yapongeza utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...













