Home 2026
Yearly Archives: 2026
UMIKIDO WASHIRIKI MKUTANO MKUU WA MWAKA WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI
Umoja wa Vyombo vya Habari vya Mitandao ya Kijamii Mkoa wa Dodoma (UMIKIDO) umeshiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Vyombo vya Utangazaji nchini.
Mkutano huo...
BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA ELIMU LAWEKA MIKAKATI YA UTEKELEZAJI ENDELEVU
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, leo Februari 12, 2026, amefungua rasmi Baraza la 36 la Wafanyakazi wa Wizara hiyo...
BoT YAPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA FEDHA KAMA SHADA LA MAUA
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, amewaonya wananchi wanaozifunga fedha kama shada la maua kwa ajili ya zawadi kwa wapendwa...
NGASONGWA: TUNAJENGA SOKO LA SARUJI LENYE USHINDANI WA HAKI
Kaimu Mkurugenzi Mkuu FCC Bi. Khadija Ngasongwa, akitoa maelezo kuhusu wajibu wa FCC kwenye kusimamia ushindani na kumlinda mlaji wakati wa kikao kazi na...
TAFITI ZATAJWA KUWA NGUZO MUHIMU KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MILIPUKO
Na WAF - Dar es Salaam
Imeelezwa kuwa tafiti ni nguzo kuu katika kuimarisha maandalizi na uwezo wa kukabiliana na magonjwa ya milipuko nchini pamoja...
WAZIRI MKENDA ATAKA ONGEZEKO LA WANAWAKE NA WASICHANA KATIKA TAALUMA ZA SAYANSI
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia,Prof. Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi yaliyofanyika...
SERIKALI KUIMARISHA SEKTA YA KINGA YA JAMII, KULETA MANUFAA KWA UMMA
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na...
EWURA YATOA MSAADA WA MASHUKA 455 HOSPITALI YA MKOA WA IRINGA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo, 10 Februari 2026, imetoa msaada wa mashuka 455 katika hospitali ya rufaa ya...
KWAGILWA AKAGUA ICU YA KISASA HANDENI MJI, KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Reuben Kwagilwa, amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo...
KATIBU MKUU DKT. MUYUNGI AWAKARIBISHA WADAU USAFIRI WA KUTUMIA UMEME
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akizungumza katika Mkutano na wadau kutoka Jumuiya ya Vyombo vya Moto vitumiavyo Umeme Tanzania (TAEMA)...













