Monday, November 23, 2026
Tangazo-NHC
Home 2026

Yearly Archives: 2026

KUINUA UCHUMI, WANANCHI

RC SENDIGA:UMEME VITONGOJINI KUINUA UCHUMI WA WANANCHI

0
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme kwenye vitongoji ni chachu ya kuinua uchumi wa wananchi...
RAIS DKT, SAMIA, KUZINDUA

RAIS DKT SAMIA KUZINDUA SOKO LA KARIAKOO FEBRUARI 08, 2026

0
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzindua soko la Kariakoo Februari 8, 2026 ambalo lilikuwa kwenye ukarabati baada...
WATANZANIA, AJIRA, KIWANDA

WATANZANIA ZAIDI YA 1000 KUNUFAIKA NA AJIRA ZA KIWANDA CHA AFRIPORT APPAREL LIMITED

0
Sekta ya Viwanda nchini Tanzania imeendelea kutoa majawabu ya fursa za ajira. Hii ni kutokana na nia ya Serikali ya kuendelea kuboresha mazingira ya...
WAFANYABIASHARA, KARIAKOO, WAPO

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAPO TAYARI KWA MFUMO WA IDRAS

0
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo (JWK) Bw. Severin Mushi,akizungumza wakati wa mafunzo ya mfumo mpya kwa wafanyabiashara wa Kariakoo. Na.Mwandishi Wetu- KARIAKOO Wafanyabiashara wameukubali...
UMEME, UCHAKATAJI, MAZAO

UMEME VITONGOJINI WACHOCHEA UCHAKATAJI MAZAO KATAVI

0
Imeelezwa kuwa mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Awamu ya Pili B (HEP 2B) unakwenda kuongeza na kuchocchea uchakataji wa mazao ambayo kwa...
POSTA, TCRA, MFUMO

POSTA NA TCRA KUSHIRIKIANA KUOKOA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI NCHINI

0
Serikali imesisitiza kuwa uwepo wa anwani za makazi zilizoandaliwa na kutunzwa vizuri ni kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi wa kidijitali na uboreshaji wa...
DCC, HANDENI, VIPAUMBELE

DCC HANDENI YAPITISHA VIPAUMBELE VYA HANDENI MJI 2026/27

0
📌Bima ya afya kwa wote yaguswa Na Augusta Njoji KAMATI ya Ushauri ya Wilaya ya Handeni (DCC) imepitisha mapendekezo ya rasimu ya Mpango wa Maendeleo na...
SHILINGI BILIONI, 19.5, KUTEKELEZA

ZAIDI YA SHILINGI BILIONI  19.5 KUTEKELEZA MRADI WA USAMBAZAJI UMEME KWENYE VITONGOJI  127

0
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuleta neema ya maendeleo kwa wananchi wa mkoa wa Arusha...
UWEKEZAJI, NDANI, UTEKELEZAJI

UWEKEZAJI WA NDANI NI UTEKELEZAJI WA DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050 NA ILANI...

0
Kampeni ya Kitaifa ya uwezeshaji uwekezaji wa ndani ni utekelezaji wa Vitendo wa Dira ya Taifa ya 2050 na Ilani ya CCM 2025-2030 ambayo...
UMEME VITONGOJI, KUFIKISHA, MKOANI

BILIONI 45.8 KUTUMIKA KUFIKISHA UMEME KATIKA VITONGOJI MKOANI SIMIYU

0
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi. Prisca Kayombo,akizungumza wakati wa kikao cha kumtambulisha rasmi Mkandarasi wa Mradi huo Burhani Engineers limited atakaye hudumia Vitongoji...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA