DIT YAPATA CHETI CHA KIMATAIFA CHA ISO 21001:2018 , SERIKALI YAPONGEZA .
Na Mwandishi Wetu.
SERIKALI imeeleza kuwa hatua ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kupata cheti cha kimataifa cha ISO 21001:2018 ni chachu muhimu...




