MARUFUKU KILIMO CHA BANGI WILAYA HII TAKATIFU, TUTAWAKAMATA β DC BUTIAMA
Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Thecla Mkuchika, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua watu wote wanaojihusisha na kilimo cha bangi wilayani Butiama...
DC BUSEGA AHIMIZA NJIA HALALI ZA UTAJIRI KWA WANANCHI
Mkuu wa Wilaya ya Busega, Mhe. Faidha Salim, amewataka wananchi wilayani humo kuacha kutegemea imani za kishirikina katika kupata utajiri, badala yake waelekeze nguvu...
SERIKALI HAITAMVUMILIA MKANDARASI ATAKAYESABABISHA UCHELEWESHAJI WA MIRADI YA UCHUKUZI.
Serikali imesema imedhamiria kuharakisha utekelezaji wa miradi ya uchukuzi katika Mkoa wa Kigoma ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kuchochea ukuaji wa uchumi na...
REA YABORESHA MAISHA MKOANI TANGA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuthibitisha kwa vitendo nia yake ya kujali na kuthamini wananchi kwa kuhakikisha inafikisha huduma nafuu ya umeme kwenye...
TBS WAANZISHA KLABU ZA VIWANGO MASHULENI ” TBS VIWANGO KLABU “, WALENGA KUFIKISHA ELIMU...
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeanzisha Klabu ya Viwango itakayowahusisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kwa lengo la kuwajengea uelewa...








