Monday, February 23, 2026
Home 2026 January

Monthly Archives: January 2026

KAMATI YA BUNGE  YAZIPONGEZA NDC, TBS, BRELA na TIRDO KWA UTOAJI HUDUMA BORA KWA...

0
Kamati  ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imepongeza Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Wakala...

TBS WATOA ELIMU YA VIWANGO, MAONESHO YA 12 YA BIASHARA KIMATAIFA ZANZIBAR

0
 Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu kuhusu masuala ya viwango kwa wananchi na wajasiriamali wanaotembelea Maonesho ya 12 ya Biashara...

MKUU WA WILAYA KISARAWE AWAONYA WAKANDARASI KUACHA UZEMBE KATIKA UJENZI

0
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Petro Magoti, amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya serikali kuacha uzembe na kufanya kazi kwa kuzingatia mikataba na viwango...

WAZIRI KAPINGA ASISITIZA TATHMINI ZA MARA KWA MARA KATIKA TAASISI ZA WIZARA

0
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesisitiza umuhimu wa taasisi zilizo chini ya Wizara yake kufanya tathmini za mara kwa mara kama njia...

DKT. SEIF AAGIZA KUKAMATWA MKANDARASI NJOMBE AKISHINDWA KUKAMILISHA KAZI KWA WAKATI

0
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Jafar Seif, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi...

ONYO KWA WAZAZI WANAOWAFICHA WATOTO

0
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Petro Magoti, ametoa wito kwa wazazi wote wenye watoto wenye ulemavu kuhakikisha wanawaandikisha shule wanapofikia umri wa kuanza...

MAELEKEZO YA RAIS SAMIA ‘TANGA YA VIWANDA’ YATEKELEZWA

0
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amesema jitihada za Serikali katika kufufua viwanda Mkoani Tanga zimeanza kuzaa matunda, akitolea mfano Kiwanda...

PWANI YAENDELEA KUZALISHA AJIRA KUMUUNGA MKONO MHE. RAIS

0
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, amesema Mkoa wa Pwani unaendelea kutekeleza vipaumbele vya Serikali kwa vitendo, hususan katika eneo la uzalishaji...

SERIKALI YAHIMIZA UBORA WA KAKAO NA UONGEZAJI THAMANI KULINDA SOKO LA KIMATAIFA

0
Serikali imewataka wakulima nchini kuhakikisha wanapeleka kakao yenye ubora sokoni ili kulinda bei nzuri inayoendelea kupatikana kwa sasa. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya...
💬
Support