Thursday, July 30, 2026
Home 2026 January 29

Daily Archives: January 29, 2026

MAJIKO BANIFU MKOMBOZI WA AFYA NA MAZINGIRA SIMIYU .

0
Wakazi wa mkoa wa Simiyu waaswa kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira kwa kutumia nishati safi na salama ya kupikia. Rai hiyo...

BILIONI 73.8 KUPELEKA UMEME VITONGOJI 527 MKOA WA TANGA

0
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa shilingi bilioni 73.8 wa kusambaza umeme katika vitongoji 527 mkoani Tanga. Hayo yamebainishwa leo Januari...

RC IRINGA ASISITIZA WANANCHI KUWALINDA WAKANDARASI NA VIFAA VYA UJENZI

0
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James, amewataka wananchi wa Mkoa huo kutoa ushirikiano kwa Wakandarasi wa miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini...

TANZANIA NA SERBIA ZAJADILI USHIRIKIANO WA AJIRA NA MAENDELEO YA RASILIMALI WATU

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Clement Sangu akizungumza na Waziri wa Kazi, Ajira na Ustawi...

DKT.JAFO AKOMALIA BAJETI YA BARABARA YA LAMI MLANDIZI-MZENGA-BOGA

0
Mbunge wa Jimbo la  Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akiuliza swali la nyongeza leo Januari 29,2026 bungeni jijini Dodoma. Na.Alex Sonna, Dodoma Mbunge wa Jimbo la  Kisarawe, Dkt....