WAZIRI KAPINGA:AJIRA MAELFU ZIMEZALISHWA KUPITIA VIWANDA NA BIASHARA SIKU 100 ZA SAMIA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga,akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 24,2026 katika Mji wa Kiserikali Mtumba jijini Dodoma kuhusu mafanikio...




