NDEJEMBI AIPA TANESCO KASI MPYA: AAMURU UBUNIFU, UWAJIBIKAJI NA UUNGANISHAJI WA HARAKA WA UMEME
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kufanya mageuzi makubwa katika kuboresha upatikanaji wa huduma ya umeme...
TBS WAENDELEA KUSISITIZA ULAJI WA CHAKULA SALAMA KWA WATANZANIA.
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limehimiza wananchi kuzingatia matumizi ya chakula salama pamoja na kuimarisha usafi katika maandalizi ya chakula ili kulinda...





