Thursday, June 25, 2026
Home 2025 November 19

Daily Archives: November 19, 2025

POLISI DODOMA WATHIBITISHA MAUAJI YA MC PILIPILI, UCHUNGUZI UNAENDELEA

0
Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limethibitisha mauaji ya Emmanuel Mathias, maarufu kama MC PILIPILI, mkazi wa Swaswa jijini Dodoma, aliyefariki dunia Novemba 16,...

JIKO BANIFU KWA TSH 11,200: WANANCHI HANANG WANUFAIKA NA RUZUKU YA 80%

0
Wakazi wa Hanang waaswa kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira kwa kutumia nishati safi na salama ya kupikia. Rai hiyo imetolewa leo...

MABAKI YA MWILI WA MTANZANIA JOSHUA MOLLEL KUZIKWA KESHO BAADA YA KUWASILI

0
Mabaki ya mwili wa kijana Joshua Mollel, aliyeuawa nchini Israel na wapiganaji wa Hamas tarehe 7 Oktoba 2023, yamewasili leo katika Uwanja wa Ndege...

DKT. NCHIMBI AWASILI LUSAKA KUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE UKARABATI WA RELI YA TAZARA

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili Jijini Lusaka, Zambia, leo Novemba 19, 2025, kwa ajili...

WIZARA YA FEDHA YATWAA MKAJUKUMU MAKUBWA KUIMARISHA UCHUMI WA TAIFA

0
Na Benny Mwaipaja, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Wizara ya Fedha imebeba matumaini ya Serikali na wananchi katika...

TUMEKUJA KUTIMIZA NDOTO YA RAIS SAMIA YA KULIJENGA TAIFA – MHE. CHANDE

0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Chande (Mb) ameitaka menejimenti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kutoa ushirikiano katika kutimiza ndoto za...

WAZEMBE, WAVIVU SERIKALINI KUKUTANA NA MOTO WA CCM

0
Na Deborah Lemmubi – Dodoma Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama hicho hakitasita kuchukua hatua kali...