Wednesday, October 28, 2026
Tangazo-NHC
Home 2024

Yearly Archives: 2024

KUKAMILIKA KWA MRADI WA UMEME RUSUMO KUNAZIDI KUIIMARISHA GRIDI YA TAIFA- KAMATI YA BUNGE

0
πŸ“Œ Ni mradi wa megawati 80 unaotekelezwa na Tanzania, Burundi, Rwanda πŸ“Œ Kila nchi yafaidika na megawati 26.6 πŸ“Œ Kamati yasema mradi utazidi kuimarisha uhusiano mzuri...

SHULE YA SEKONDARI MISUFINI GOMA KUANZA KUPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO 2025.

0
Zaidi ya shilingi milioni 389 kutumika kujenga Mabweni mawaili (KE&ME), vyumba vinne vya madarasa na matundu ya vyoo kumi na nne (14) katika Shule...

DKT. BITEKO AIPONGEZA DODOMA JIJI KUVUKA LENGO UANDIKISHAJI WAPIGA KURA

0
Ujenzi Uwanja wa Ndege Msalato Wafikia 75%, Kukamika kwake Kutachochea Maendeleo πŸ“ŒAmpongeza Mhe. Mavunde Kwa Utekelezaji Mzuri wa Ilani ya CCM Na Ofisi ya Naibu Waziri...

DKT.BURIANI ATOA KONGOLE KWA TANZANIA NA UGANDA KUTEKELEZA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA

0
πŸ“Œ Aeleza faida za mradi mkoani Tanga πŸ“Œ Asema EACOP itafungua fursa za tafiti za Mafuta Tanga Mkuu wa Mkoa wa Tanga Dkt. Batilda Buriani ameipongeza...

FDH YAIANGUKIA SERIKALI WENYE ULEMAVU KUKUOMBA MIKOPO YA HALMSHAURI KWENYE MITANDAO NI KIKWAZO.

0
Serikali imeombwa kuangalia namna ya kuwajengea uwezo wa jinsi kutumia mifumo ya mitandao watu wenye ulemavu ili na wao waweze kunufaika na fursa ya...

WIZARA YA NISHATI YAFANYA MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA EQUINOR TANZANIA

0
πŸ“Œ Wazungumzia uendelezaji wa Mradi wa LNG Wizara ya Nishati imekutana na kufanya mazungumzo na Kampuni ya Equinor Tanzania AS kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa...

WAKUU WA WILAYA BUNDA,MUSOMA NA BUTIAMA WAHIMIZA USHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

0
Na Shomari Binda- WAKUU wa Wilaya za Bunda,Butiama na Musoma wamewahimiza wananchi kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa. Kauli hiyo wameitoa leo kwa nyakati tofauti kwenye...

ASILIMIA 99 YA VIJIJI VYOTE NCHINI VIMEFIKIWA NA UMEME- KAPINGA

0
πŸ“Œ Asema Taasisi zinazotoa huduma kwa jamii zinapewa kipaumbele Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema asilimia 99 ya Vijiji vyote nchini vimefikiwa na...

DKT PHILIP MPANGO ATOA RAI KWA WAZALISHAJI WA VIWANDA KUONGEZA WIGO WA UWEKEZAJI

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa wazalishaji wa viwandani kuongeza wigo wa uwekezaji katika viwanda...

KAPINGA ASEMA MAFANIKIO KATIKA SEKTA YA NISHATI YANATOKANA NA JITIHADA ZA RAIS SAMIA

0
πŸ“Œ Ni wakati akitoa mchango Bungeni kuhusu Mpango wa Taifa wa Maendeleo πŸ“Œ Ataja kuongezeka kwa kiasi cha umeme katika Gridi ya Taifa πŸ“Œ Aeleza usambazaji...
Celebrating 25 Years of NHIF