Monday, March 16, 2026
Home 2024 August 13

Daily Archives: August 13, 2024

VIONGOZI WA DINI MARA WARIDHIA KUSHIRIKIANA NA TAKUKURU KUPINGA RUSHWA KWENYE UCHAGUZI

0
Na Shomari Binda-Musoma VIONGOZI wa dini mkoa wa Mara kupitia kamati ya amani na maridhiano wamesema wapo tayari kushirikiana na taasisi ya Kuzuia na Kupambana...

MKUU WA MKOA WA MARA ATOA WIKI SITA KWA MKURUGEZI SERENGETI

0
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanal Evans Alfred Mtambi ametoa wiki Sita kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kukamilisha Bweni la wanafunzi...

KIGOMA MIONGONI MWA MIKOA INAYOLEGALEGA KATIKA MIRADI YA MAENDELEO

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa ameitaja Kigoma kuwa miongoni mwa mikoa inayolegalega katika utekelezaji...

ASASI ZA KIRAIA ZAOMBA SERIKALI IANGAZIE USHIRIKI WA MAKUNDI MAALUM KATIKA MIUNDOMBINU YA KIDIGITALI

0
Asasi za kiraia nchini, kupitia Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), zimesisitiza umuhimu wa Serikali kuwezesha makundi maalum kufikia miundombinu ya kidigitali...

TANZANIA TUNA ZIADA YA MCHELE TANI MILIONI 1.6 – BARAZA LA MCHELE

0
Tanzania tuna ziiada ya Mchele tani zaidi ya milioni 1.6 baada ya kujitosheleza mahitaji ya nchi kwa chakula kwamujibu wa takwimu za uzalishaji wa...