Monday, March 16, 2026
Home 2024 August 11

Daily Archives: August 11, 2024

MBUNGE MONNI ACHANGIA MIFUKO 100 YA SARUJI KIJIJI CHA HANDA

0
Mbunge wa Jimbo la Chemba (CCM) Mohamed Monni amekabidhi mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya umaliziaji Ofisi na uanzishwaji wa ujenzi wa Zahanati...

PROF. KITILA AWAPONGEZA JUKWAA LA WANAWAKE KIMARA KWA UBUNIFU

0
Na Rahel Chizoza, DSM Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo ameupongeza uongozi wa...

JIJI LA DAR ES SALAAM LATANGAZA FURSA KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE MAENEO KUMI NA...

0
Na Mariam Muhando- Dar es salaam. Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam imetangaza fursa kwa Wawekezaji Nchini kuwekeza katika maeneo kumi na Moja ya...

TIGO WASHIRIKI MAASAI FESTIVAL 2024 NA KAMPENI YA HAKUNA MATATA KWA AJILI YA WATALII.

0
MAASAI GLOBAL FESTIVAL 2024 NA TIGO : Agosti 09 & 10 , Watu walifurika katika banda la Tigo kwa nyakati tofauti tofauti pale Eden Garden...

MAKAMPUNI YA CHAKULA CHA MIFUGO YATAKIWA KUWASHIKA MKONO WAFUGAJI KUKU.

0
Na Mariam Muhando- Pwani. Makampuni ya chakula cha Mifugo Nchini Wametakiwa kujitokeza katika kuwaunga Mkono Wafugaji ili waweze kujikwamua Kiuchumi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa...

PROF. KITILA MKUMBO AAHIDI BARABARA YA MAKOKA – MCHICHANI KUJENGWA KWA LAMI

0
Na Rahel Chizoza, DSM Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo ameahidi kuwa barabara...