WAZIRI DKT JAFO; ATOA MAELEKEZO KWA SIDO KUSHIRIKINA NA KILA MKOA UJENZI WA VIWANDA...
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Selemani Jafo ameliagiza Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kushirikiana na kila Mkoa katika...
WAONGOZA WATALII WAMETAKIWA KULINDA MAADILI YA KITANZANIA KWA WATALII WANAOFIKA KISIWANI MAFIA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Abdul Kitungi amewataka Vijana waongoza Watalii wilayani Mafia kulinda maadili ya kitanzania katika kuwahudumia Watalii wanaofika kumtembelea...
BILIONI 25.4 KUTUMIKA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJI 374 JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Bunda-Musoma
KIASI cha shilingi bilioni 25.4 kimetengwa kwa shughuli ya usambazaji umeme.kwenye vitongoji 374 vilivyopo kwenye vijiji 68 vya jimbo la Musoma vijijini.
Kauli...
RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUWAWEZESHA WAWEKEZAJI WA NDANI MAONESHO YA NANE NANE 2024
Na Adery Masta.
Motisun Group Limited inayohusisha makampuni mbalimbali ikiwemo Kampuni namba moja nchini kwa Utengenezaji , Uuzaji na Usambazaji wa Bidhaa za Ujenzi ya...







