Home 2023
Yearly Archives: 2023
TIGO NA SAMSUNG WAZINDUA SIMU ZA Galaxy Z Flip 5 NA Galaxy Z Fold...
GB 96 BURE UKINUNUA : " Tigo kama vinara wa Mapinduzi ya Kidigitali tunawaletea SIMU ZA Galaxy Z Flip 5 na Galaxy Z Fold 5...
WAKAGUZI WA NDANI WAPATIWA MAFUNZO ILI KUBORESHA TAARIFA ZA FEDHA
Na. Josephine Majura, WF, Dar es Salaam.
Jumla ya wakaguzi 120 wa ndani wa taarifa za fedha wamepatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kukagua taarifa...
WAWILI WASHIRIKILIWA NA POLISI KWA KULAGHAI
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashilia watu wawili akiwemo Emanuel Paul Karata (35) mchungaji wa kanisa laPENTEKOSTE GOSPEL MISSION lililopo kibaha kwa ulaghai...
DKT.MPANGO AMEWASHUKURU WATANZANIA WALIOUNGANA NA FAMILIA KATIKA MAOMBOLEZO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewashukuru watanzania na waombolezaji wote walioungana na familia katika maombolezo na...
SERIKALI ITAENDELEA KUONGEZA BAJETI YA KILIMO: MWELI
Na: Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Mweli, amesema kuwa Serikali itaendelea kujikita zaidi katika kuongeza bajeti ya kilimo, pamoja...
MABINGWA WATETEZI NYASHO FC WAICHAPA KIGERA FC 6-0 MATHAYO CUP
Na Shomari Binda-Musoma
MABINGWA watetezi wa mashindano ya Mathayo Cup msimu uliopita, Nyasho fc wameanza vyema kutetea ubingwa wao baada ya kuifunga timu ya Kigera...
SERIKALI KUENDELEA KULINDA THAMANI YA SHILINGI
Na. Farida Ramadhani, WF, Dodoma.
Serikali imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua mbalimbali kulinda thamani ya shilingi ya Tanzania ikiwemo kuendelea kuboresha mazingira ya biashara na kuvutia uwekezaji kutoka nje.
Hayo yameelezwa...
MBIBO AWAOMBA MABALOZI KUISAIDIA WIZARA KUTIMIZA NDOTO ZA WAASISI SEKTA YA MADINI
Kamishna wa Madini awaeleza kuweka Msukumo kwenye Madini Mkakati
Dodoma
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amewaomba Mabalozi Wapya walioteuliwa hivi karibuni kuiwezesha Sekta...
WANAOWEKA PICHA ZA KUDHALILISHA MITANDAONI WAONYWA.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa wote wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka picha...













