Monday, May 4, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

TARURA YAJINYAKULIA POINTI 3 TOKA RAS KILIMANJARO

0
Timu ya mpira wa miguu ya TARURA imejinyakulia pointi 3 dhidi ya timu ya RAS Kilimanjaro wakati wa mchezo wa makundi katika mashindano ya...

MABINGWA 50 MTOKO WA KIBINGWA KUSHUHUDIA DERBY YA KARIAKOO KI VIP

0
KAMPENI kubwa ya Mtoko wa Kibingwa yazinduliwa rasmi mabingwa 50 kushuhudia derby ya kariakoo katika Jukwaa la VIP A Novemba 05, 2033 Kwa Mkapa. Akizungumza...

VIONGOZI WA DINI WAHAMASISHENI VIJANA KUFANYA KAZI KWA WELEDI-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa staha, weledi na uadilifu ili kuzitumia rasilimali zilizopo nchini...

TARURA YAENDELEZA UBABE KWA KUIPIGA ARDHI 1-0

0
Timu ya Mpira wa miguu ya TARURA yaendeleza ubabe kwa siku tatu mfululizo ambapo Leo imefanikiwa kuipiga Ardhi goli 1-0 kwenye mashindano ya SHIMIWI. Katika...

MBUNGE BULAYA AJIVUNIA MASHINDANO YA BULAYA CUP KUTOA WACHEZAJI WENGI

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa viti maalum Ester Bulaya amesema anayo furaha na kujivunia mashindano ya Bulaya Cup kutoa wachezaji wengi tangu yalipoanzishwa. Kauli hiyo aeitoa...

Shule ya Mumtaaz yasifiwa Kwa Taaluma bora

0
Shule ya Mumtaaz iliyopo jijini Mwanza Kata Buhongwa imesifika Kutokana na Taaluma mzuri ambayo imekuwa ikitolewa Shuleni hapo, hayo yamebainishwa na Mwalimu Mkuu wa...

SERIKALI KUFUNGUA SHAMBA LA MIWA, MUHUKURU

0
NA MWANDISHI WETU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama (MB) wa Peramiho amesema Serikali kupitia...

WAZIRI MKUU KASIMU MAJALIWA AMPA RUNGU RC PWANI KUNYANG’ANYA VISIWA NA VIWANJA VILIVYOMILIKIWA NA...

0
Na Scolastica Msewa, MafiaWaziri Mkuu Mheshimiwa Kassimu Majaliwa amempa rungu Mkuu wa mkoa wa Pwani Mheshimiwa Abubakari Kunenge kunyang'anya Visiwa na viwanja uwekezaji wa...

CCM MKOA WA MARA YASEMA HAITAKUWA KIKWAZO KWA MBUNGE MATHAYO KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE

0
Na Shomari Binda-Musoma CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitakuwa kikwazo kwa mbunge wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo kutekeleza majukumu yake ikiwemo utekelezaji wa...

DIT WATANGAZA UDAHILI KATIKA SHAHADA YA KWANZA YA UHANDISI WA VIFAA TIBA ( BACHELOR...

0
 Na Mwandishi Wetu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na mafunzo ya Ufundi Stadi ( NACTVET ) limetoa Ithibati kwa Taasisi ya Teknolojia Dar...