Home 2023
Yearly Archives: 2023
MAJALIWA ATATUA MGOGORO WA ARDHI JIJI LA MWANZA
*Aruhusu ghorofa lijengwe, wawili wasimamishwa, mmoja arudishwa Wizarani
*Dodoma nako awasha moto, 11 wasimamishwa kazi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza,...
TCRA YAAHIDI KUENDELEA KUUNGA MKONO WANAHABARI WA MITANDAO YA KIJAMII
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt Jabiri Bakari, ameahidi kuwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) itaendelea kuunga mkono wanahabari wa mitandao...
ONESHO LA KIMATAIFA LA SITE 2023, KUPAMBWA NA WANYAMA HAI
Na John Mapepele.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki amesema kuwa maandalizi ya Onesho la saba la Utalii la Kimataifa la Swahili International...
WAJADILI ITIFAKI ZINAZOSIMAMIWA NA SHIRIKA LA MILIKI UBUNIFU AFRIKA
Kamati ya Uratibu wa zoezi la kuridhiwa kwa Itifaki zinazosimamiwa na Shirika la Miliki Ubunifu Kanda ya Afrika (African Regional Intellectual Property Organization -...
WANANCHI KIJIJI CHA MUSANJA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI WAENDELEZA UJENZI MAJENGO YA MADARASA
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI was Kijiji cha Musanja Kitongoji cha Gomora wameendelea na ujenzi wa madarasa ya shule shikizi ili kuwasaidia wanafunzi wa Kitongoji hicho...
MKURUGENZI MTENDAJI WA AKIBA COMMERCIAL BANK PLC AZINDUA RASMI WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Na Mwandishi wetu
Benki ya Akiba PLC imewashukuru wateja wake kuichagua kwa kuendelea kuiamini katika kitumia huduma zake ikiwemo kuhifadhi ,kutuma na kutoa fedha huku...
WATOTO YATIMA, VIONGOZI WA DINI NA WAUMINI WA KIISLAMU KUMUOMBEA RAIS DKT. SAMIA, DKT....
Na Scolastica Msewa, Kigamboni.Madrasat Hidaya Islamic Centre ya Kigamboni jijini Dar es salaam siku ya tarehe 7 mwezi huu inatarajia kuongoza waislamu na dini...
UJUMBE WA TANZANIA THAILAND WAKUTANA NA MTANZANIA ANAYEMILIKI KIWANDA CHA KUSHONA NGUO
Wakati wa ziara ya Ujumbe wa Tanzania nchini Thailand, mbali na kutembelea shughuli za madini, ulipata wasaa wa kukutana na kijana wa Kitanzania Suleiman...
WAZIRI UMMY: NDANI YA MIEZI SITA HOSPITALI ZOTE ZA HALMASHAURI ZIWE ZINAPIMA UGONJWA WA...
Na. WAF - Dar es Salaam
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali zote za Halmashauri nchini kuwapima ugonjwa wa Sikoseli watoto wote wanaozaliwa...
ATCL KUPOKEA NDEGE MPYA KESHO
Na Magrethy Katengu
Serikali kupitia Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake...













