Home 2023
Yearly Archives: 2023
TIGO WAWAFIKIA WATEJA NA WATOA HUDUMA WAKE , WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2023
Na Mwandishi Wetu.
Ikiwa ni mwendelezo wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma Kwa Wateja , Leo Oktoba 4, 2023 viongozi wa Kampuni ya TIGO akiwemo...
Mwanafunzi anayedaiwa kumkata panga mwalimu afikishwa Mahakamani
Alex Lameck (18), Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Tamabu na Mkazi wa Mission wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya...
WAZIRI SLAA ATOA SIKU SABA UTATUZI WA KERO ZA URASMISHAJI WA ARDHI.
Na Magrethy Katengu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Slaa amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo pamoja na Watendaji wake kushughukia...
TIGO WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2023 MKOANI IRINGA
Na Mwandishi Wetu.
Mtandao namba moja kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali nchini Tigo , umezindua wiki ya Huduma kwa wateja Mkoani Iringa ikiwa na...
DIWANI GOLDEN AWAHUSIA WAHITIMU MOREMBE SEKONDARI KUJIEPUSHA NA USHOGA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Na Shomari Binda-Musoma
WANAFUNZI wahitimu wa kidato cha 4 wa shule ya sekondari Morembe wametakiwa kutojihusisha na vitendo vya ushoga na ndoa za jinsia moja.
Kauli...
UVCCM WAKABIDHI VIFAA VYA KUSAFISHIA DAMPO LA RWAMISHENYE WATOA NENO KWA MANISPAA YA BUKOBA.
Na Theophilida Felician Kagera.
Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi CCM Kata ya Rwamishenye Manispaa ya Bukoba Mkoni Kagera kwa pamoja wameungana na kujitolea...
BRELA, SIDO NA TAASISI HUSIKA ZATAKIWA KUFIKA KATIKA NGAZI ZA HALMASHAURI
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exhaud Kigahe (Mb.) ameziagiza BRELA, SIDO na Taasisi husika kufika katika Ngazi za Halmashauri ili kuwawezesha Wafanyabiashara
Amesema...
SERIKALI KUONGEZA KIWANGO CHA GESI KUZALISHA UMEME ILI KUFIDIA MAPUNGUFU YA UMEME
*Yaahidi kufanya kila linalowezekana Wananchi wapate umeme
Na. Neema Mbuja, Mtera
SERIKALI itaongeza upatikanaji wa gesi ili kufidia mapungufu ya hali ya upatikanaji wa umeme nchini...
MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. PHILIP MPANGO AWAONGOZA WATANZANIA KUPOKEA NDEGE YA ABIRIA AINA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa maelekezo kwa Wizara ya Uchukuzi, Bodi ya Wakurugenzi na Wafanyakazi...
VIONGOZI WAHIMIZWA KUTUMIA MATOKEO YA SENSA KUPANGA MIPANGO YA MAENDELEO
Na Ashrack Miraji
Viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro wamehimizwa kutumia matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya Mwaka 2022 kupanga mipango mbalimbali ya maendeleo...













