Home 2023
Yearly Archives: 2023
DKT.MPANGO SERIKALI ITAWACHUKULIA HATUA WALE WOTE WATAKAOBAINIKA WAMEFANYA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA UMMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema serikali itawachukulia hatua wale wote watakaobainika wamefanya ubadhirifu wa fedha...
Ongezeko Bajeti ya Utafiti Yaiwezesha TARI- Dakawa Kuongeza Uzalishaji Mbegu za Mpunga
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO
Kutokana na kuongezeka kwa bajeti ya kilimo katika eneo la utafiti kutoka Shilingi bilioni 11.5 hadi Shilingi bilioni 40.7 kwa...
WIZARA YA AFYA YATOA FURSA MWEKEZAJI KUJENGA KIWANDA CHA MIFUKO YA KUHIFADHIA DAMU NCHINI
Na Magrethy Katengu
Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu amewaomba Wawekezaji kujitokeza kujenga Viwanda vya kuzalisha Mifuko ya kuhifadhi damu Ili kusaidia kupunguza gharama ya...
DIT MWANZA WAPONGEZWA KWA UJENZI WA KITUO CHA UMAHIRI WA BIDHAA ZA NGOZI
SERIKALI imepongeza maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Umahiri wa Bidhaa za Ngozi na Teknolojia zinazoshabihiana (CELPAT) katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam...
SERIKALI KUANZISHA KANZI DATA YA MAKUNDI ADIMU YA DAMU
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Serikali inadhamiria kuanzisha Kanzi Data ya kutambua makundi ya Damu kwa Watanzania wote, ili kusaidia kukabiliana na Changamoto...
WAZIRI NAPE AFTURISHA JIMBONI
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Mhe. Nape Nnauye amefuturisha wananchi wa Jimbo la Mtama ikiwa...
RC CHALAMILA AIPONGEZA TIMU YA WATALAAM WA AFYA KWA KUJIDHATITI KUELIMISHA JAMII KATIKA KUKABILIANA...
Na. Elimu ya Afya kwa Umma
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Albert Chalamila ameipongeza Timu ya Watalaam wa Afya kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,...
DKT MPANGO KUTEMBELEA SHAMBA LA UZALISHAJI WA NG’OMBE BORA WA MAZIWA NA NYAMA MABUKI...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Khigoma Malima amesema, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe:Philip Mpango anatarajiwa kuwasili katika Kijiji...
RAIS DKT. MWINYI: TUONGEZEE BIDII YA KUSOMA QUR’AAN, TUWASAIDIE WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ambaye amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....
WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII 1322 WAJENGEWA UWEZO KUKABILIANA NA MARBURG
Katika kukabiliana na Ugonjwa wa Marburg ulioripotiwa rasmi mnamo tarehe 21 Machi, 2023 mkoani Kagera, Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi...














