Home 2023
Yearly Archives: 2023
MFUMO BORA WAHITAJIKA KATIKA UOKOZI NA UTAFUTAJI MAENEO YA MAJI
Na Mwandishi wetu
Naibu katibu mkuu Uchukuzi Dkt. Alli Possi amewataka wadau wa sekta ya Majini na Anga katika eneo la utafutaji na uokoaji kuangalia...
DKT LUSASI: IFIKAPO 2025 MAAMBUKIZI YAPUNGUE NA KUFIKIA ASILIMIA 3.5
Na. Magrethy Katengu
Imeelezwa kuwa Tanzania kwa Sasa Hali ya Ugonjwa wa Malaria ni asilimia 94 ambapo maambukizi lakini kwa mwaka 2017 ilikuwa ni asilimia...
RC MARA ATOA UJUMBE MZITO SWALA YA EID EL FITR
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee ameitaka jamii kuepukana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto.
Licha ya kujihusisha...
RC KINDAMBA ATOA MSAADA VYAKULA MAKUNDI MAALUMU
Na Boniface Gideon, TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba Jana amekabidhi msaada wa vyakula kwa makundi maalumu yenye Mahitaji Maalumu wakiwemo Wazee wasiojiweza...
VIJIJI 32 VYAPATA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
VIJIJI 32 katika jimbo la Musoma vijijini tayari vimepata maji ya bomba kutoka ziwa victoria huku vingine vikiendelea kufikiwa na huduma hiyo.
Mbunge...
VIJIJI 32 VYAPATA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda, Musoma
VIJIJI 32 katika jimbo la Musoma vijijini tayari vimepata maji ya bomba kutoka ziwa victoria huku vingine vikiendelea kufikiwa na huduma...
MASHIRIKA YASIYOTENGEZA FAIDA YAPUNGUZE UTEGEMEZI KUTOKA SERIKALI KUU- MCHECHU
Na Beatrice Sanga-MAELEZO
TAASISI na Mashirika ya Umma yanayojiendesha kwa kutegemea mfuko wa Serikali Kuu yametakiwa kuhakikisha yanapunguza utegemezi wa rasilimali fedha na kuhakikisha kwamba...
WAZIRI MKUU:SERIKALI IMESAJILI MIRADI YA UWEKEZAJI 537.
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa katika kipindi cha mwaka 2021 hadi Januari, 2023 Serikali ilisajili jumla ya miradi ya uwekezaji 537 yenye thamani...















