Monday, November 23, 2026
Tangazo-NHC
Home 2023

Yearly Archives: 2023

SHERIA, UBIA, KUKAMILIKA

SHERIA MPYA YA UBIA MBIONI KUKAMILIKA

0
Na Joseph Mahumi, WFM, Arusha SERIKALI ipo katika hatua za mwisho za marekebisho ya Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi...

SERIKALI KUHAKIKISHA MISAMAHA YA KODI INATUMIKA IPASAVYO

0
Na Farida Ramadhani, WFM – Dodoma Serikali imesema inaendelea kutekeleza sheria katika ufuatiliaji na tathmini ya misamaha ya kodi ikiwemo Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)...

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAWASHUKURU WAANDISHI WA HABARI

0
Na Joseph Mahumi, WFM, Arusha. WIZARA ya Fedha na Mipango imesema inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa waandishi wa habari katika kuuhabarisha umma kusuhu Sera,...

WAKUU WA MIKOA DHIBITINI MAAMBUKIZI YA MALARIA-MAJALIWA

0
Aitaja mikoa ya Tabora, Mtwara, Kagera, Shinyanga na Mara kuongoza kwa kiwango cha maambukizi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa mikoa ambayo ina kiwango...

TANZANIA KUFANYA MAONESHO YA SABA YA UTALII, (SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO-S!TE), MWEZI OKTOBA

0
Na. Beatrice Sanga Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii nchini (TTB) imezindua onyesho la Saba la Kimataifa la utalii maarufu kama Swahili...
MAJALIWA, DAWA, KUNYWA

MAJALIWA: MSINUNUE DAWA NA KUNYWA BILA KUPIMA

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewakumbusha Watanzania kufanya vipimo mara wanapobaini kuwa na homa, badala ya kujinunulia dawa na kunywa. Waziri Mkuu ameyasema hayo wakati wa...
JAMII, KUTENDA, MEMA

JAMII YAASWA KUTENDA MEMA

0
JAMII imeaswa kutenda matendo mema ili kudumisha misingi ya utulivu ambayo taifa letu imejenga kwa muda mrefu. Wito huo umetolewa kwa nyakati tofauti jana Jijini...

ASA Yasisitiza Matumizi ya Mbegu Bora

0
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) umesisitiza wakulima kuendelea kutumia mbegu bora za kilimo ambazo zimefanyiwa utafiti kulingana na mazingira ya...
SERIKALI, KUPUNGUZA, WAHITIMU

SERIKALI KUPUNGUZA ‘GAP’ LA WAHITIMU KUKOSA UJUZI UNAOHITAJIKA KATIKA SOKO LA AJIRA

0
Na. Beatrice Sanga-MAELEZO Serikali imesema iko katika mchakato wa kupitia Mitaala mbalimbali ya vyuo vya kati na vyuo vikuu ili kuhakikisha kwamba wanamaliza ama kupunguza...
WiLDAF, UJUMBE, KUPINGA

WiLDAF YAFIKISHA UJUMBE WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA MKOANI MARA

0
Na Shomari Binda-Musoma SHIRIKA lisilo la kiserikali la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika(WiLDAF)limeitaka jamii kuachana na ukatili na kuwapa nafasi wanawake kumiliki ardhi. Ujumbe...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA