RC MTANDA AONYA WANAOKWAMISHA ZOEZI UTEKETEZAJI MASHAMBA YA BANGI
Na Shomari Binda-Tarime
MWENYEKITI wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Mara na mkuu wa mkoa huo Said Mtanda ameonya watu wanaokwamisha uteketezaji...
FAO YAAHIDI KUIUNGA MKONO TANZANIA-MAJALIWA
Ni katika mikakati yake ya kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo...
MBETO : ASEMA MIAKA 3 YA DK.MWINYI YAANDIKA HISTORIA MPYA YA Z’BAR.
NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR.
KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis, amesema kuwa miaka mitatu ya Uongozi wa...
TIB YAWEKEZA BILIONI 980. 7 KATIKA MIRADI MBALIMBALI
Na Magrethy Katengu
BENKI ya Maendeleo (TIB) imesema hadi kufikia Septemba 30, 2023 imewekeza jumla ya shilingi bilioni 980.7 kwenye Miradi mbalimbali ikiwemo ya Kilimo,...
UCHAKAVU WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA UKEREWE WAMGUSA MBUNGE
Vyumba viwili vya madarasa vinavyotumiwa na wanafunzi wa darasa la tatu na la nne katika shule ya msingi Bulubi wilayani ukerewe mkoani mwanza viko...
TBS WATOA UTARATIBU NA FAIDA ZA KUSHIRIKI TUZO ZA UBORA 2023
Afisa ubora mwandamizi wa TBS, Bw.Athumani Kissumo akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 13,2023 Jijini Dar es Salaam wakati wakitoa taarifa kuhusu uandaaji wa...
WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 16, 2023. ameshiriki maadhimisho ya siku ya chakula duniani na miaka 78 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Umoja...
SERIKALI IMEDHAMIRIA KUFUFUA KILIMO CHA MAZAO YA BIASHARA NONGWE WILAYA YA GAIRO.
Serikali imedhamiria kufufua kilimo cha mazao ya Biashara katika vijiji vitatu vya kata ya Nongwe wilaya ya Gairo mkoani Morogoro kwa kuanza na Kilimo...
WAVUVI KATIKA ZIWA VICTORIA WILAYANI UKEREWE MKOANI MWANZA WAMEIOMBA SERIKALI KUIMARISHA HALI YA USALAMA
Wavuvi katika Ziwa Victoria wilayani Ukerewe mkoani Mwanza wameiomba serikali kuimarisha hali ya usalama ili kudhibiti ongezeko la vitendo vya uharamia kwenye ziwa hilo...













