CNG IPEWE KIPAUMBELE KUENDESHA MITAMBO NA MAGARI NCHINI- KAMATI YA BUNGE
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kuweka kipaumbele katika kusambaza Vituo vya Nishati ya Gesi Iliyoshindiliwa (CNG) inayotumika katika...
JESHI LA POLISI LATOA TAHADHARI MECHI YA SIMBA NA AL AHLY
Na. Magrethy Katengu
Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam limewataka mashabiki watakaohudhuria kwenye mechi ya Simba sc na Al Ahly itakayofanyika...
TTB NA WATOA HUDUMA WAIBUKA VINARA WA MASUALA YA UTALII KWA BARA LA AFRIKA
Na Magrethy Katengu
BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imesema Mwaka huu Vivutio vya Utalii na wadau wa huduma za Utalii nchini wameibuka washindi katika mashindano...
WAZIRI DKT. GWAJIMA ASHIRIKI MKUTANO WA MERCK FOUNDATION INDIA.
WMJJWM Mumbai, India
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ni kati ya viongozi wanaohudhuria Mkutano wa Mwaka...
WIZARA YA MADINI YAWEKA MIKAKATI MIPYA KWA KLABU YAKE YA MICHEZO
Yaibuka na Medali Nne
Medali za Fedha 2, Shaba 1 na Dhahabu 1
Katika kuhakikisha Klabu ya Michezo ya Madini ( Madini Sports Club) inashiriki michezo...
MBUNGE JANETH AZINDUA KAMPUNI YA VIJANA YA KUTOA AJIRA ZA KILIMO NA UINGIZAJI MAGARI...
Mbunge wa viti mahalum wanawake mkoa wa Dar es salaam Janeth Mahawanga Mbunge wa viti mahalum wanawake mkoa wa Dar es salaam Janeth Mahawanga...
NIC YAWATAKA WANAHABARI KUKATA BIMA YA PERSONAL ACCIDENT
Waandishi wa habari wametakiwa kukata bima ya Personal Accident ili iweze kuwalinda wanapokuwa kazini au nje ya kazi.
Hayo yamesemwa na meneja wa shirika la...
DKT.BITEKO AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KANDA BENKI YA DUNIA (WB)
✅️ WB yaipongeza Tanzania kwa kasi ya usambazaji umeme
✅️ Tanzania yaingizwa katika mradi wa ASCENT kuongeza upatikanaji umeme
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,...
MAKATIBU WENEZI CCM WATAKIWA KUSEMEA KAZI NZURI INAYOFANYWA NA SERIKALI
Na Shomari Binda-Musoma
MAKATIBU wa Siasa Itikadi na Uenezi wa CCM mkoa wa Mara wametakiwa kusemea kazi nzuri inayofanywa na setikali.
Kauli hiyo imetolewa na Katobu...
WIKI YA AZAKI KUFANYIKA JIJINI ARUSHA KUANZIA OCTOBA 23-27, 2023
Na Mwandishi wetu
Zaidi ya washiriki 500 kutoka kwa wadau wakuu wa Maendeleo katika sekta ya Asasi za kiraia/Azaki, sekta binafsi, Serikali pamoja na wananchi...













