Friday, June 26, 2026
Home 2023 October 11

Daily Archives: October 11, 2023

SACP Mutafungwa: Ulinzi na usalama ni jukumu la kila mwananchi

0
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Wilbrod Mutafungwa amewataka wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika suala la...

Bashungwa: Kama hujafikisha 60% asipangiwe kazi nyingine

0
Waziri wa ujenzi, Innocent Bashungwa amewaagiza Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads ) kutomaliza kazi nyingine Mkandarasi ambaye hajafikisha asilimia 60%ya kazi za awali Ili...

MAONYESHO YA UJENZI WAUZA VIFAA VYA UJENZI, WAHANDISI WACHANGAMKIA FURSA MIRADI YA SERIKALI

0
Na Magrethy Katengu .Serikali imesema itahakikisha miradi ya setikali inawapa wahandisi na wakandarasi wazawa ili kusaidia kupunguza gharama wanayotumia kulipa wageni zinabaki na kukuza...

GST YAENDELEA KUTOA ELIMU MAJANGA YA ASILI MANYARA

0
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kutoa elimu na tahadhali ya kujikinga na Majanga ya Asili hususan katika kipindi hiki...

TIMU YA ROCK CITY VETERAN YATAMBA KUTETEA UBINGWA NYERERE DAY BONANZA 2023 MJINI MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma TIMU ya Rock City veteran kutoka mkoani Mwanza imetamba kutetea ubingwa wake wa bonanza la kumbukizi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius...

WANAWAKE MARA WATAJWA KUMVUSHA RAIS SAMIA ZIARA YA MBUNGE AGNESS MARWA ZANZIBAR

0
Na Shomari Binda WANAWAKE mkoani Mara wametajwa kuwa ni "jeshi kubwa" linaloweza kumvusha Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi wa 2025/2030 Kauli hiyo imetolewa na mjumbe...

WAMILIKI WA MIGODI WATAKIWA KUZINGATIA MASHARTI YA LESENI

0
Wamiliki wa Migodi ya Uchimbaji Madini nchini wametakiwa kuzingatia masharti ya Leseni za Uchimbaji Madini pamoja na kulipa fidia kwa wakati. Hayo yamebainishwa na Naibu...

WAZIRI MHAGAMA , AZINDUA MUONGOZO WA UWEKEZAJI MKOA WA MANYARA.

0
Na; Mwandishi Wetu - Manyara Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watendaji wa Serikali;...

WADAU WAUNGA SERIKALI MKONO KATIKA SEKTA YA ELIMU

0
Na Magrethy Katengu Wadau wa elimu kuunga serikali katika suala la elimu kwa kuwasaidia wanafunzi kusoma nje ya nchi vyuo vikuu ikiwemo USA, UK Canada...

NMB YAKABIDHI MADAWATI YA MILIONI 25 KWA SHULE TANO KIBAHA

0
Na Scolastica Msewa, KibahaBank ya NMB imekabidhi madawati 200 na samani zingine zenye thamani ya shilingi milioni 25 kwaajili ya shule tano za msingi...