WATANZANIA CHANGAMKIENI FURSA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA KATI YA MAREKANI NA TANZANIA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa rai kwa Sekta Binafsi kutumia fursa ya makubaliano ya majadiliano ya kibiashara kati ya...
WANANCHI WA KIJIJI CHA KENOKWE SERENGETI WAPEWA ELIMU YA USHIRIKISHWAJI JAMII NA JESHI LA...
Na Shomari Binda-Serengeti
JESHI la polisi mkoani Mara kupitia kitengo cha polisi jamii kimejikita kutoa elimu kwa wananchi ikiwemo utoaji wa taarifa za uhalifu na...
NATURALLY OCCURRING GASES AND ACCELERATED ECONOMIC GROWTHS OF NATIONS
By Shomari Binda
There are many types of naturally occurring gases on the planet Earth. Thus, this planet, which is approximately 4.5 billion years old,...
UVINZA YAFIKIWA NA ELIMU YA KUKABILIANA NA MAAFA
Na. MWANDISHI WETU
Wananchi wa Wilaya ya Uvinza wamejengewa uwezo juu ya masuala ya menejimenti ya maafa nchini huku wakikumbushwa kujiandaa na kukabiliana na athari...
JITIHADA ZA KUPAMBANA NA MALARIA ZAENDELEA KWA I UGAWAJI VYANDARUA SHULE ZA MSINGI
Na Magrethy Katengu
Mkuu wa Mkoa Alber Chalamila amaelekeza wataaam wote wa sekta ya afya na wadau kuhakikisha wanaendelea na dhamira ya kugawa vyandarua lakini...
TUPINGE UKATILI WA JINSIA WADAU WA MICHEZO WAPEWA WITO
Na Mwandishi wetu
Naibu Waziri wa Michezo,Sanaa na Utamaduni Hamis Mwinyijuma(Mwana FA) ameziomba Timu za Mpira Nchini kuungana kuisaidia jamii katika mambo mbalimbali kukemea vikali...









