WAZIRI MAVUNDE ATINGA SOKO LA DHAHABU KAHAMA USIKU,DHAHABU KILO 4 YAKAMATWA IKITOROSHWA.
Katika kuhakikisha inalinda rasilimali madini ili ziweze kuchangia maendeleo ya Nchi na kuinua uchumi wa watanzania, Serikali imesimamisha leseni zote Nchi nzima za Kampuni...
MAABARA ZA SAYANSI ZAANZA KUJENGWA SHULE YA SEKONDARI NYANJA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
MAABARA 3 za masomo ya sayansi zimeanza kujengwa kwenye shule ya sekondari Nyanja iliyopo Kata ya Bwasi jimbo la Musoma vijijini.
Maabara zinazojengwa...
HEKARI 807 ZA MASHAMBA ZATEKETEZWA MKOANI MARA
Ashrack Miraji
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, askari mgambo pamoja...
SACP Mutafungwa: Ulinzi na usalama ni jukumu la kila mwananchi
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Wilbrod Mutafungwa amewataka wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika suala la...
Bashungwa: Kama hujafikisha 60% asipangiwe kazi nyingine
Waziri wa ujenzi, Innocent Bashungwa amewaagiza Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads ) kutomaliza kazi nyingine Mkandarasi ambaye hajafikisha asilimia 60%ya kazi za awali Ili...
MAONYESHO YA UJENZI WAUZA VIFAA VYA UJENZI, WAHANDISI WACHANGAMKIA FURSA MIRADI YA SERIKALI
Na Magrethy Katengu
.Serikali imesema itahakikisha miradi ya setikali inawapa wahandisi na wakandarasi wazawa ili kusaidia kupunguza gharama wanayotumia kulipa wageni zinabaki na kukuza...
GST YAENDELEA KUTOA ELIMU MAJANGA YA ASILI MANYARA
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kutoa elimu na tahadhali ya kujikinga na Majanga ya Asili hususan katika kipindi hiki...
TIMU YA ROCK CITY VETERAN YATAMBA KUTETEA UBINGWA NYERERE DAY BONANZA 2023 MJINI MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU ya Rock City veteran kutoka mkoani Mwanza imetamba kutetea ubingwa wake wa bonanza la kumbukizi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius...
WANAWAKE MARA WATAJWA KUMVUSHA RAIS SAMIA ZIARA YA MBUNGE AGNESS MARWA ZANZIBAR
Na Shomari Binda
WANAWAKE mkoani Mara wametajwa kuwa ni "jeshi kubwa" linaloweza kumvusha Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi wa 2025/2030
Kauli hiyo imetolewa na mjumbe...
WAMILIKI WA MIGODI WATAKIWA KUZINGATIA MASHARTI YA LESENI
Wamiliki wa Migodi ya Uchimbaji Madini nchini wametakiwa kuzingatia masharti ya Leseni za Uchimbaji Madini pamoja na kulipa fidia kwa wakati.
Hayo yamebainishwa na Naibu...















