Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 October

Monthly Archives: October 2023

TBS, WADAU, KUSHIRIKI

TBS YAWATAKA WADAU KUSHIRIKI KWENYE UANDAAJI WA VIWANGO , KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA...

0
Katika kuadhimisha Siku ya Viwango Duniani, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wadau na wananchi kushiriki vyema katika uandaaji wa viwango ili kwa pamoja...
KUNENGE, KUKAMATWA, VIONGOZI

RC KUNENGE AAGIZA KUKAMATWA VIONGOZI 24 WALIOHUSIKA KUUZWA ENEO LA HEKA 4000 MALI YA...

0
Na Scolastica Msewa, Kibaha Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa muda wa siku 14 kukamatwa viongozi 24 wakiwemo mabalozi, wenyeviti wa mitaa, watendaji...
OFISI, WAKILI, MKUU

OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI YAOKOA MABILIONI YA SERIKALI

0
Na Boniface Gideon, TANGA SERIKALI kupitia Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh Bilioni 600 na dola za Kimarekani milioni thelathini...
MTANDA, MGENI, RASMI

RC MTANDA MGENI RASMI BONANZA LA KUMBUKUMBU MIAKA 24 YA MWALIMU NYERERE

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Saidi Mtanda anataeajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye bonanza la kumbukumbu ya miaka 24 ya Baba wa Taifa...
TABWA, CHINA, WAFANYABIASHA

TABWA YAWAFIKISHA CHINA WAFANYABIASHA WA TANZANIA

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wafanyabiasha wanawake Tanzania (TABWA), Bi.Noreen Mawalla (katikati), akiongoza jopo la Wafanyabiasha zaidi ya 50 Kutoka Tanzania,  walipowasili kwenye Uwanja...
JMAT, MKATABA, SHIRIKA

JMAT KUSAINIANA MKATABA NA SHIRIKA LA HWPL KATIKA MASUALA YA AMANI YA DUNIA

0
Na Magrethya Katengu Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania(JMAT) imesainiana Mkataba wa kufanya kazi pamoja na Shirika la Kimataifa la Amani lijulikanalo kama Heavenly Culture...
TANZANIA, ZAMBIA, KUTATUA

TANZANIA NA ZAMBIA ZAKUBALIANA KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA

0
Tanzania na Zambia zimekubaliana kutatua changamoto 8 kati ya 24 za kibiashara na 16 zilizobaki zimewekewa utaratibu wa kuzitatua ifikapo Disemba 31, 2023 ili...

SERIKALI YAOMBWA KUWAONGEZEA FEDHA TARURA

0
Na Ashrack Miraji, Same kilimanjaro. Mbunge wa Same Mashariki Mhe.Anne Kilango Malecela ameiomba Serikali kuwaongezea fedha wakala wa barabara Mjini na Vijijini (TARURA) Wilaya ya...
WAANDISHI, HABARI, KUTOA

WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUTOA MAONI MAREJEO NA MAPITIO YA SERA YA HABARI NA...

0
Mwenyekiti wa OJADACT Bwana Edwin Soko amewataka waandishi wa habari kujitokeza kwenye kutoa maoni kuhusu marejeo na mapitio ya sera ya habari na utangazaji...
WAZIRI MASAUNI, UGAWAJI, VITAMBULISHO

WAZIRI MASAUNI AZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA MKOANI MARA

0
Na Shomari Binda-Musoma WAZIRI wa mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Yusuf Masauni amezindua zoezi la kitaifa la ugawaji vitambulisho vya taifa mkoani Mara. Akizungumza kwenye...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA