Home Kitaifa MAKAMU WA RAIS AKIWASILI MKOANI SHINYA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU... Kitaifa MAKAMU WA RAIS AKIWASILI MKOANI SHINYA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU By Joseph Nelson - January 17, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili Kahama mkoani Shinyanga leo tarehe 17 Januari 2023 kwaajili ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.