Home Kitaifa DKT. MWIGULU AKUTANA NA KATIBU MKUU WA TEC Kitaifa DKT. MWIGULU AKUTANA NA KATIBU MKUU WA TEC By Mzawa Online - November 20, 2025 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.