KAPINGA: SERIKALI KUENDELEA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wanawake wajasiriamali kwa kuwaondolea vikwazo na kurahisisha taratibu za urasimishaji...




