PROF.MKENDA:WASHIRIKI WA NDANI NA NJE YA NCHI WAONGEZEKA TUZO YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 8, 2026 jijini Dodoma,wakati akitangaza rasmi kufanyika kwa...




