MIKATABA YA TRILIONI 1.2 YASAINIWA NA REA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJI 9,009 NCHINI.
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
Waziri wa Nishati Mhe Deogratius Ndejembi amesema kuwa upatikanaji wa Umeme kwa Watanzania wote ni agenda ya Kitaifa na ya kimkakati na...




