MAELEKEZO YA RAIS SAMIA ‘TANGA YA VIWANDA’ YATEKELEZWA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amesema jitihada za Serikali katika kufufua viwanda Mkoani Tanga zimeanza kuzaa matunda, akitolea mfano Kiwanda...




