PWANI YAENDELEA KUZALISHA AJIRA KUMUUNGA MKONO MHE. RAIS
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, amesema Mkoa wa Pwani unaendelea kutekeleza vipaumbele vya Serikali kwa vitendo, hususan katika eneo la uzalishaji...
SERIKALI YAHIMIZA UBORA WA KAKAO NA UONGEZAJI THAMANI KULINDA SOKO LA KIMATAIFA
Serikali imewataka wakulima nchini kuhakikisha wanapeleka kakao yenye ubora sokoni ili kulinda bei nzuri inayoendelea kupatikana kwa sasa.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya...





