Friday, October 31, 2025
Home 2025

Yearly Archives: 2025

SERIKALI YATOA MILIONI 400 KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI KWA RUZUKU DODOMA

0
📌Mitungi 19,530 kuuzwa kwa bei ya ruzuku kwa lengo la kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia 📍Chamwino - Dodoma Wakala wa Nishati Vijijini...

GAVANA TUTUBA: RIBA YA BENKI KUU KUENDELEA KUWA ASILIMIA 6

0
na Monica Sibanda. Kamati ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania imeamua kuendelea na kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) cha asilimia...

MBUNGE MATHAYO AFANIKISHA BODABODA KUPATA PIKIPIKI KWA KUTANGULIZA LAKI 3 PEKEE.

1
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo amekamilisha ahadi yake ya kuwezesha waendesha pikipiki" bodaboda" kupata mkopo nafuu wa pikipiki. Hiyo ni...

UTARATIBU UGAWAJI FEDHA MATUMIZI MFUKO WA JIMBO MUSOMA VIJIJINI WAPONGEZWA

0
Na Shomari Binda-Musoma WANANCHI na wadau wa elimu jimbo la Musoma Vijijini wamepongeza utaratibu mzuri wa kufanyika vikao vya ugawaji matumizi fedha za mfuko wa...

KILANGO AENDELEA KUIMARISHA MIUNDO MBINU YA BARABARA JIMBO LA SAME MASHARIKI ATOA SHUKRANI KWA...

0
Na Dickson Mnzava, Ujenzi wa Barabara 100.5Km Mkomazi-Kisiwani-Same waanza, Mkandarasi wa Ujenzi wa Kipande cha 36 Km cha Mkomazi - Ndungu akabidhiwa Barabara Ujenzi...

RAIS DKT SAMIA AFUNGUA SKULI YA SEKONDARI MISUFINI BUMBWINI ZANZIBAR

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati...

TANZANIA NA JAPAN KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII

0
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb.), ametoa wito kwa kampuni za Japan kuwekeza nchini Tanzania ili kutumia fursa zilizopo katika sekta...

WAZIRI SIMBACHAWENE : GARI LA WAGONJWA LISITUMIKE KUBEBA MAGENDO

0
Na Hamida Ramadhan Mzawa Online Dodoma WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la...

HISTORIA MPYA YAANDIKWA VITONGOJI VYA MAHUU NA KAVAMBUGHU.. RAIS SAMIA ATAJWA SHUJAA.

0
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro WANANCHI wa vitongoji vya Mahuu na Kavambughu kata ya Same wilayani Same mkoani Kilimanjaro wameingia katika historia mpya tangu...

RAIS DKT SAMIA, DKT MWINYI WAZINDUA HOTEL YA KITALII BAWE ZANZIBAR

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe....