MRADI WA SHILINGI BILIONI 5.8 KUWEZESHA NISHATI SAFI SHULENI
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imesaini mikataba ya kufunga miundombinu ya nishati safi ya kupikia kwa shule za Sekondari 52 na Chuo cha VETA...
MITUNGI 3,255 YA GESI YASAMBAZWA KWA BEI NAFUU BABATI
Kongole hizo zimetolewa leo, tarehe 04 Disemba 2025, na wananchi wa Kata ya Ayalagaya Wilaya ya Babati mkoani Manyara wakati wa usambazaji na uuzaji...
MBUNGE SHINGO AANZA MKAKATI WA KISASA WA KUJENGA UWEZO WA VIJANA ILALA
Katika harakati za kuimarisha uchumi wa wananchi kupitia uwekezaji katika rasilimali watu, Mbunge wa Ukonga, Bakari Shingo, ameidhinisha mpango mahsusi wa kuwawezesha vijana wa...
SERIKALI YAIPONGEZA DIT KWA KUENDELEA KUZALISHA WABUNIFU , HAFLA YA KUTUNUKU VYETI NA KUWAPA...
Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam, Disemba 03, 2025.
Serikali imeipongeza Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kuendelea kuwa chimbuko la wataalamu...
TBS WAWAPA ELIMU YA VIWANGO WAUZAJI , WASAMBAZAJI NA WAZALISHAJI WA BIDHAA ZA UMEME
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo kwa wazalishaji, waagizaji na wasambazaji wa bidhaa za umeme nchini, likilenga kuhakikisha bidhaa zinazoingia sokoni...








