HOTUBA YA BAJETI YAMWANGAZIA RAIS SAMIA
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake mahiri...
TIJA KWA NCHI KIPAUMBELE MRADI WA LNG – DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko amesema dhamira ya Serikali ni kutekeleza mradi mkubwa wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia...
TANZANIA YAAHIDI USHIRIKIANO KUTEKELEZA BEIJING+30
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania iko tayari kushirikiana na wadau mbalimbali zikiwemo serikali, mashirika ya kimataifa, sekta...
MSAADA WA KISHERIA WA MAMA SAMIA WALETA NEEMA UNGUJA
Kampeni ya Msaada wa Kisheria iliyoanzishwa kwa juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuwa msaada...
KILIMANJARO YAFAIDIKA NA MIRADI YA UMEME REA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wameendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu kwa umma kuhusu matumizi...
TCB YAZINDUA KAMPENI YA “TOBOA KIDIGITALI” WATEJA WAKE KUZAWADIWA GARI JIPYA , PIKIPIKI ,...
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua rasmi kampeni ya kitaifa ijulikanayo kama “Toboa Kidijitali”, ambayo inalenga kuhamasisha wananchi kutumia mifumo ya kisasa ya miamala...
REA YAHIMIZA MIKOPO YA VITUO VYA MAFUTA VIJIJINI
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kuwahamasisha Watanzania kuchangamkia fursa ya mikopo kwa ajili ya kuwezesha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo...
WASANII 10 WANUFAIKA NA RUZUKU YA FEEL FREE 2025
WASANII kumi wa Tanzania na mashirika ya kitamaduni yamepokea jumla ya TSh 270 milioni za ufadhili chini ya Mradi wa "Feel Free Grant 2025"...
WAZIRI MKUU: SERIKALI KUENDELEZA MABONDE NCHINI
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea na mpango wa kuyaendeleza mabonde nchini kwa kuyatumia kutoa huduma za kijamii ikiwemo upatikanaji wa maji...
MUAROBAINI WA HAKI ZA WANYONGE WAZINDULIWA UNGUJA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Dkt. Haroun Ali Suleiman amewasihi wananchi wa Kaskazini Unguja Visiwani Zanzibar,...













