Friday, May 1, 2026
Home 2024 January 4

Daily Archives: January 4, 2024

PROF.MUHONGO AZITEMBELEA NA KUZIFARIJI FAMILIA ZILIZOATHIRIKA NA MVUA KATA YA ETARO

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo amezitembelea familia za kaya 15 zilizoathirika na mvua Kata ya Etaro. Familia zilizoathirika zaidi...

RAIS DKT.MWINYI ASHUHUDIA KARAFUU ZA MAGENDO BANDARINI WETE.

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika ziara ya kushtukiza...

DKT. BITEKO: SERIKALI ITAENDELEA KUWA SIKIVU KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI ILI KUSTAWISHA DEMOKRASIA NCHINI

0
Na Magrethy Katengu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuwa sikivu kusikiliza maoni yote yanayotolewa na wananchi...