Wednesday, May 6, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

WAZIRI MCHENGERWA AWAONYA WATENDAJI WASIOWAJIBIKA, AAHIDI KUIREJESHA TAMISEMI KWA WANANCHI

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaonya watendaji katika Mamlaka za Serikali za...

TANZANIA INA JUMLA YA MADAKTARI BINGWA WAZALENDO 2,469

0
Na. WAF, DodomaTanzania ina jumla ya Madaktari Bingwa Wazalendo 2,469 ambao wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika wa fani mbalimbali za Udaktari Bingwa. Hayo yamebainishwa...

MAVUNDE AIPONGEZA STAMICO KWA KUPIGA HATUA NA KUJITEGEMEA

0
#Aitaka kuchukua mafanikio kama kichocheo #STAMICO yabainisha mipango yake Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa hatua kubwa iliyopigwa...

WAZAZI LIPENI ADA KWA WAKATI NA WALINDENI WATOTO DUNIA IMEHARIBIKA-MEYA SHILOO

0
Na Boniface Gideon, TANGA Mustahiki meya wa Jiji la Tanga Abdarahaman Shiloo amewataka Wazazi Kulipa ada kwa wakati pamoja wakuwalinda Watoto wa jinsia zote kutokana...

MATHAYO: HAKUNA MZAZI ANAYELIPA ADA YA MWANAFUNZI JIMBO LA MUSOMA MJINI

0
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo amesema hakuna mzazi anayelipa ada ya mwanafunzi kwenye jimbo hilo. Akizungumza kwa njia ya simu na Mzawa...

WAZIRI MAVUNDE: GST NDIYO MOYO WA SEKTA YA MADINI

0
•Aahidi kuipa kipaumbele GST •GST yatajwa kuwa ni moja ya kinara wa Maabara Bora ya Utafiti Madini Barani Afrika Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema...

Washauriwa kutumia Masoko ya Madini ya Mikoa kununua Madini Ili kuepuka vishoka.

0
Na Neema Kandoro Mwanza Ofisa Madini Mkoani Mwanza Adrian Anthony ameyataka mataifa yenye kuhitaji kupata huduma hiyo kufika kwenye ofisi Masoko ya Madini yanayopatikana Mikoa...

MHE. ANGELAH KAIRUKI AWASILI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, AANZA KAZI

0
Awataka watumishi kumpa ushirikiano katika utendaji kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angelah Kairuki (Mb) amewataka Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kumpa...