Monday, May 4, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

TIGO KUDHAMINI BONANZA LA NYERERE DAY MUSOMA MJINI, WADAU WENGINE WAITWA

0
Na Shomari Binda-Musoma KAMPUNI ya mtandao wa simu ya mkononi ya Tigo mkoa wa Mara imedhamini sehemu ya kufanikisha bonanza la michezo ya Nyerere Day. Bonanza...

MBUNGE IDDI AWATAKA WAUMINI WA KISLAMU KUWA WAMOJA NA KUWA NA MSHIKAMANO.

0
Na Joel Maduka, Msalala. Mbunge wa Jimbo la Msalala Iddi Kassim Iddi,amewataka waumini wa dini ya Kiislamu kuwa wamoja na kushikamana kwa nia ya kudumisha...

BRELA WASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA JIJINI DAR ES SALAAM

0
Na Magrethy Katengu Wakala wa Usajili leseni za biashara Brela imesema wmwitikio wa watu kusajili kampuni na biashara zao katika maonyesho viwanda yaliyoandaliwa na Shirikisho...

SOKOMBI AWAOMBA WADAU KUTHAMINI MCHANGO WA WAANDISHI WA HABARI

0
Na Shomari Binda-TARIME WADAU na wananchi wametakiwa kuthamini mchango wa Waandishi wa Habari kwa kazi wanazofanya za ufikishaji wa taarifa. Kauli hiyo imetolewa na mlezi wa...

WACHEZAJI BOMBOKA FC WAKABIDHIWA BIMA ZA AFYA C.H.F

0
Na Boniface Gideon, TANGA Wachezaji 25 wa Timu ya mpira wa miguu 'Bomboka Fc ' inayoshiriki ligi ya Mkoa wa Tanga,Leo wamekabidhiwa Bima za Afya....

WAWEKEZAJI WAFUNGULIWA FURSA YA UTALII KANDA YA KUSINI MWA TANZANIA

0
WATALII Na wawekezaji sekta ya Utalii waaswa kuwekeza katika utalii wa Kanda za nyanda za kusini ili kuweza kutangaza vivutio vilivyopo mikoa ya kusini...

RC MTANDA AWAPA NENO MAKOCHA BIASHARA UNITED WAKIIFUNGA STEND UNITED 1-0

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Said Muhamed Mtanda amelishauri benchi la ufundi la Biashara United kuongeza kasi ya kunoa safu ya ushambuliaji...

MBUNGE AGNESS AWAFIKISHA VIONGOZI UWT MUSOMA MJINI NYUMBANI KWA RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR

0
Na Shomari Binda MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mara Agness Marwa ameendelea kutekeleza ahadi yake ya kuwafikisha viongozi wa UWT mkoa wa Mara visiwani...

TCB YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

0
Na Ashrack Miraji Kwa kutambua jukumu muhimu linalofanywa na maofisa wa huduma kwa wateja na mawakala wake, Benki ya Tanzania Commercial Bank TCB imezindua Wiki...

MATHAYO AELEZEA UMUHIMU WA ELIMU KWA WAHITIMU KAMNYONGE SEKONDARI, AWAAHIDI “PRINTER NA PHOTOCOPY”

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo amewahimiza wahitimu wa kidato cha nne shule ya sekondari Kamnyonge kuipa umuhimu elimu kwa...