Home 2023
Yearly Archives: 2023
SERIKALI YAJIZATITI KUTATUA CHANGAMOTO YA KUKOSEKANA UMEME VIJIJINI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali ya Awamu ya Sita, imejizatiti kuhakikisha inaondoa changamoto ya umeme hapa nchini, kuanzia kwenye vijiji,...
NAIBU WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UGANDA
#Awataka kuunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais kuinua uchumi wa Tanzania
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 10,...
WAZIRI MHAGAMA AMETOA TAHADHALI KUJIKINGA NA MADHARA YA MVUA ZA ELNINO
GST yaendelea kutoa elimu ya Majanga ya Asili Manyara
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenister Mhagama ametoa tahadhali kwa...
BMH KUFANYA UPASUAJI KUFUNGUA KIFUA WATU WAZIMA IKITIMIZA MIAKA 8
Oktoba 10, 2023 Dodoma
Hospitali ya Benjamin Mkapa ya jijini Dodoma itafanya upasuaji wa kufungua kifua kwa watu wazima kuanzia Oktoba 16 mwaka huu.
Taarifa hiyo...
WANANCHI MARA WAFURAHIA HUDUMA YA UPIMAJI WA AFYA NA USHAURI MAENEO YAO
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI mkoani Mara wamepokea na kushukuru huduma ya upimaji wa afya na ushauri kwenye maeneo yao.
Huduma hiyo ni agizo la serikali na...
TANZANIA YAIAHIDI UGANDA KUENDELEZA USHIRIKIANO MIRADI YA KIMKAKATI
#Dkt. Biteko awasilisha salamu za Mhe. Rais Samia miaka 61 ya Uhuru wa Uganda
Na Neema Mbuja, KAMPALA
Serikali ya Tanzania imeahidi kuendeleza Ushirikiano, Umoja na...
MVA KWA MARA YA PILI KUJA NA TUNZO ZA HESHIMA KWA WASANII NOVEMBA 19,...
Na Magrethy Katengu
MAGIC VIBE AWARD waja kwa mara ya pilI kutafuta heshima kwa tasnia ya sanaa kwa Tanzania, Uganda,Kenya,nchi Nyingine kwa kutoa tunzo ikiwemo...
GST YATOA ELIMU YA MAJANGA YA ASILI MANYARA
Maadhimisho ya Wiki ya Maafa Duniani 2023 kufanyika Manyara
GST yatoa wito kwa wananchi kupata elimu ya Majanga ya Asili
Katika kuadhimisha Wiki ya Maafa Duniani,...
MATATIZO KWENYE NDOA NA MAHUSIANO MOJA YA VISABABISHI VYA MAGONJWA YA AFYA YA AKILI
Na Shomari Binda-Musoma
MATATIZO na ugomvi kwenye ndoa na mahusiano yametajwa kama kisababishi cha magonjwa ya afya ya akili na wengine kupelekea kujitoa uhai.
Hayo yamesemwa...
KILIMO CHA UMWAGILIAJI CHATAJWA KUWA SULUHISHO UPATIKANAJI WA CHAKULA
Na Shomari Binda-Musoma
KILIMO cha umwagiliaji kimetajwa kuwa suluhisho la upatikanaji wa chakula cha uhakika hapa nchini.
Licha ya uhakika huo wa chakula lakini kilimo hicho...













