Home Kitaifa MVA KWA MARA YA PILI KUJA NA TUNZO ZA HESHIMA KWA WASANII...

MVA KWA MARA YA PILI KUJA NA TUNZO ZA HESHIMA KWA WASANII NOVEMBA 19, 2023

Na Magrethy Katengu

MAGIC VIBE AWARD waja kwa mara ya pilI kutafuta heshima kwa tasnia ya sanaa kwa Tanzania, Uganda,Kenya,nchi Nyingine kwa kutoa tunzo ikiwemo mwanamziki bora Dj ,Wazalishaji Mziki katika kategori 27.

Akizungumza Leo Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Muandaaji Magic Viber Awards Seif Khalid Seif amesrma mashindano hayo ya kushindanisha vipaji hivyo yatafanyika kwa njia ya mtandao kwa kutuma kazi zao kupitia (www.magicvibeawards2023.com) kisha watapigiwa kura na wananchi

“Katika tunzo hizo tunaangalia mwanamziki anbaye ana maono ya mbali kwani ku wengine licha ya kusina wanatamani kuwa viongozi,kazi juvuka mipaka mzuki kusikilizwa nje ya nchi na kuwa na Masha iki huko,’ pia kazi hiyo kupigiwa kura jwa wingi na mashabiki” amesema Seif
.
Sanjari na hayo amesisitiza kuwa tunzo hizo msjaji wake wanaopitia na kuangalia kazi za wasanii ni wa ndani na nje ya nchi hakuna rushwa wala ujanja ujanja mtu kupewa tunzo. ya hesgina huku kazi yake ikiwa na maudhui yasiyogusa jamii itatendeka haki hatoonewa mtu Wala kupendekewa.

Naye Mwita Chacha jina maarufu Mwijaku amesema ni wakati wasanii wa nyimbo za mziki kuchangankia fursa hiyo kwani inaheshimisha kazi zao wanazozifanya kimataifa..

‘Tunakwenda kuleta mageuzi tuache kasumba za kusema ooh sishiriki mimi nimepata bahati ya kutembea nchi mbalimbali ikiwemo ufaransa, Marekani na kusikia Mziki wa Ally Kiba ukipigwa nilijihisi furaha sana kuona hata wasanii wetu kazi zao zikipendwa nje ya mipaka ya Tanzania hivyo wananuziki msioneane wivu fanyeni kazi zenu kwa kupendana ” amesema Mwijaku

Aidha zoezi la upigaji kura ni la mwezi mmoja ambapo dirisha limefunguliwa Octoba 31 mwaka huu na kilele chake ni Novemba 19 2023 katika ukumbi wa Mlimani City ambapo watapatikana washindi washiriki wanakaribishwa kupata tiketi Mac Sinza-Vunja bei, Sharobalo wa Instagram- Sinza Mori na Magomeni Kasani, Mr Chambuu, Sinza Makaburini

.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!