Monday, November 23, 2026
Tangazo-NHC
Home 2023

Yearly Archives: 2023

TEWW, Mikakati, Wasichana

TEWW Yaweka Mikakati Wasichana Waliokatisha Masomo Kufika Vyuo Vikuu

0
Na. Timoth Anderson Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) imekutana na watekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari kwa Njia Mbadala (SEQUIP-AEP) na...

WAZIRI MKUU : HARAKISHENI UKARABATI UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

0
Aagiza kufanyika kwa mapitio ya idadi za mechi zinazochezwa kwenye uwanja huo WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuanza haraka...

MAKAMU WA RAIS AKIFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 01 Machi 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu...
WAFANYABIASHARA, UDANGANYIFU, KWENYE

WAFANYABIASHARA WATAKAOFANYA UDANGANYIFU KWENYE UZITO WA MITUNGI YA GESI KUTOZWA FAINI

0
Wakala wa Vipimo Mkoa wa Mwanza, imewataka wauzaji na wasambazaji wa nishati ya gesi kutumia mizani sahihi iliyohakikiwa na wakala huo ili kumlinda mlaji...
FRIENDS, TULIA, TRUST

FRIENDS OF TULIA TRUST  WASHINDWA KUTIKISA NYAVU ZA ESPANYOL 

0
Na. Munira Abdallah, Mzawablog KATIKA  Muendelezo wa Ligi ya Sodo 4 Climte timu ya Friends of Tulia trust wayaaga Mashindano rasmi kwa upande wa Wanawake...
GWALABET, BETI, MKEKA

GWALABET BETI MKEKA KWA TSH. 500 UJINYAKULIE KITITA CHA KUANZIA MILION MOJA KILA WIKI

0
NA Magrethy Katengu GWALABET, kampuni pekee Tanzania inayowapa wachezaji fursa ya kubet bure imezindua kampeni mpya iliyopewa jina la ‘Jipigie tu’. kila mchezaji atakaye suka...
MAKAMBA, WARATIBU, MIRADI

MAKAMBA: WARATIBU WA MIRADI YA UMEME VIJIJINI MKATENDE HAKI KWA WANANACHI NA KUTOIANGUSHA SERIKALI

0
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewaasa vijana walioajiriwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa nafasi ya Waratibu Miradi ya Umeme Vijijini kutekeleza majukumu...

WAZIRI MKUU: BUNGE LITAMBUE MCHANGO WA ASASI ZA KIRAIA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Kamati za Kudumu za Bunge watambue mchango wa Asasi za kiraia katika kazi zao kwa kuwa zina...
UKEREWE, AMEAGIZA, UJENZI

DC UKEREWE AMEAGIZA UJENZI WA BWENI NA BWALO UKAMILIKE KWA WAKATI.

0
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza Mhe. Hassan Bomboko ameagiza mradi wa ujenzi wa bweni na bwalo katika Shule ya Sekondari Bwiro...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA